PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Jay Z na Beyonce waonyesha mapacha wao kwenye ‘On The Run II’

on

Mastaa maarufu kutokea Marekani “The Carters” Beyonce na Jay Z wamezindua rasmi ziara yao ya muziki ‘On The Run II’ huko Cardiff, Wales Marekani, Jumatanao ya June 6,2018 ambayo itahusisha nchi mbalimbali mpaka October 4,2018.

Katika uzinduzi huo Beyonce na Jay Z walionyesha picha ya watoto wao mapacha Sir Carter na Rummy wakiwa wamewabeba na ujumbe ulioandikwa “Love is Universal” na picha hizo zimetumika kama zawadi kwa mashabiki wao.

Sir Carter na Rummy walizaliwa June 13,2017 na hivyo Beyonce aliwahi kuwapost watoto hao mara moja kwenye account yake ya instagram na hakuwahi kuwaonyesha tena katika mitandao ya kijamii.

 

INASIKITISHA! Uvimbe wa kichwani ulivyomsababishia upofu ,damu masikioni, anaomba msaada

 

Soma na hizi

Tupia Comments