AyoTV

TOP 7: Mstaa wa Bongo waliowahi kuacha kazi za kuajiriwa

on

Inawezekana umewahi kuwasikia wasanii na mastaa mbalimbali wakiwa maarufu au kufanikiwa katika kazi zao kupitia vipaji vyao lakini hujawahi kujua wamepitia wapi, leo AyoTV inakuletea list ya mastaa saba Tanzania ambao wamewahi kuacha kazi na kuajiriwa na kuamua kujiajiri na kutumia vipaji vyao na leo hii wamefanikiwa.

EXCLUSIVE: Chid Mapenzi & Shamsa wafunguka sababu za kutoongozana

 

Soma na hizi

Tupia Comments