Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kayumba kasema “Kwa Mkubwa Fella palimfunga asifahamu mambo, saivi amekuwa”

on

Msanii Kayumba ambaye alikuwa mshindi wa BSS mwaka 2015 amezungumza kuhusu kuondoka kwake Mkubwa na wanae ambapo amekiri kuwa mahali pale palikuwa pakimfunga kiakili asifahamu mambo mengi kwani vitu vingi alikuwa kifanyiwa tofauti na sasa anafanya mwenyewe hivyo itamsaidia kukomaa zaidi.
Kayumba amechia wimbo wake mpya lakini ameshindwa kuuweka Youtube kutokana na Youtube channel yake kuwa hacked amesema hajajua nani amemfanyia hivyo na hawezi kuhisi kama ni Mkubwa Fella kwani ni mtu aliyemsaidia na anapenda kuona yeye akifanikiwa.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video

Malaika kazungumzia ubalozi alioupata ambao halipwi

MUKI KAFUNGUKA: “Siwezi kufanya kazi na Fredy nilimbeba Makomando”

Soma na hizi

Tupia Comments