PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

TAMISEMI “Tunataka ifike Mwananchi apelekewe Dawa kwa Drone”

on

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Josephat Kandege amefunga mkutano wa Kongamano la Wadau wa Mnyororo wa Ugavi wa Dawa- Tanzania (Tanzania Health Supply Chain Summit 2018) linalofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kandege amesema Serikali ipo katika mipango ya kurahisisha huduma za Afya kwa Wananchi ikiwemo kuwatumia dawa wagonjwa kwa kutumia ndege zisizo na rubani.

“Kupitia Mkutano huu tunataka tutoke hatua moja kwenda nyingine, huko tunako enda tunataka hata dawa tuwafikishie Wananchi kwa kutumia Drone na kwa hili nataka niwapongeze MSD” amesema Kandege

Baba Mzazi wa MO DEWJI “ni kweli Mwanangu ametekwa”

 

Soma na hizi

Tupia Comments