PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Mashabiki wanasema Ruby kafunika Tazama Balaa LIVE

on

Usiku wa June 16, 2018 muimbaji kutokea Nigeria Davido alifanya show katika Ukumbiwa Next Door Arena ulipo Dar es Salaam ambapo aliambata na wasanii wanao fanya muziki wa bongofleva ambao ni Ruby, Nandy, The Mafik, Aslay na wegine.

Tazama Show ya RUBY kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: Davido alivyoimba na Mashabiki mwanzo mwisho Next Door Arena

Tazama Davido alivyompandisha Diamond kwenye Stage kwa kushtukiza

Soma na hizi

Tupia Comments