Michezo

Kuuli ndio basi tena maisha yake katika soka

on

Baada ya kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania TFF kukaa Jumamosi ya November 3 2018, leo imefanya mkutano ma waandishi wa habari na kutangaza maamuzi magumu.

Kamati ya maadili leo imetangaza kumfungia maisha aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF wakili msomi Revocatus Kuuli baada ya kujiridhisha na makosa yake.

Hamidu Mbwezeleni

Kuuli amekutwa na hatia ya makosa matatu yaliomfanya afikishwe katika kamati ya maadili inayoongozwa na mwenyekiti wake Hamidu Mbwezeleni.

Soma na hizi

Tupia Comments