Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mwadui FC Septemba 17 2016, Full Time 2-0

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo September 17  ambapo Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es Salaam Youg Africans walisafiri wakitokea Dar es Salaam kwenda Shinyanga kuwafuata Mwadui FC kwao mechi ambayo imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 2-0.

Yanga walianza kupata goli la 1 katika dakika ya 5 ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji wa Hamis Tambwe ambapo goli hilo lilidumu mpaka kipindi cha pili kwenye mchezo huo, katika dakika za nyongeza Yanga walipata goli la 2 kupitia Donald Ngoma na kufanya mchezo huo kumalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mwadui FC.

All goals: Yanga vs Mwadui FC September 17 2016, Full Time 2-0 

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement