Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Watalii wafukuzwa Cambodia na wengine washtakiwa….sababu?

on

Taarifa kutoka visiwa vya Cambodia leo February 12, 2018 serikali imeamuru kurudishwa nchini kwao watalii saba kati ya 10 huku watatu wakifunguliwa mashtaka kwa kuzalisha video za ngono.

Inaelezwa kuwa watalii hao walikutwa wakifanya vitendo hivyo huku wakirekodi video wakiwa katika sherehe moja waliyokwenda kuhudhuria wakiwa nchini humo na kisha kukamatwa na kufunguliwa mashtaka hayo, lakini hata hivyo wote walikana madai hayo.

Saba kati yao walikuwa wametokea nchini Uingereza, New Zealand na Canada na walipewa dhamana wiki iliyopita na tayari wameshaondoka nchini humo, huku wengine watatu wakitokea Norway na Uholanzi ambao ndio waliandaa sheria hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL na Mkurugenzi wamezungumzia mafanikio baada ya mabadiliko

Makamu wa Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi mradi wa kuimarisha usimamizi wa Maliasili

Soma na hizi

Tupia Comments