PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Samatta kaizungumzia safari yake ya Makkha

on

Moja kati ya vitu vilivyomfanya nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania anayecheza soka la kulipwa KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta aingie kwenye headlines ni pamoja na uamuzi wake wa kwenda Makkha Saudia Arabia akiwa na rafiki yake Omar Colley.

Samatta na Colley baada ya kwenda Makkah katika ibada ya Umrah wanaungana na mastaa mbalimbali wa soka duniani waliowahi kwenda kufanya ibada ya umrah, miongoni mwa mastaa hao ni pamoja na Demba Ba, Paul Pogba na Mesut Ozil.

Ayo TV leo imempata Mbwana Samatta katika exclusive interview na kufunguka kuhusiana safari yake ya Makkah ilivyokuwa “Mimi kusema ukweli hili jambo lilikuwa ni ndoto yangu baada ya kupata umri wa kujitambua nilipenda sana kulifanya lakini sikuwa najua kama kuna ibada ya umrah mimi nilikuwa najua kuna hija tu, hivyo baada ya kupata ufahamu nikajua kumbe naweza kwenda kufanya umrah”

“Simba tumewaachia, sisi hatuna presha”-Kocha wa Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments