Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Isikilize Cover ya “Kuliko Jana” iliyofanywa na Young Dee ft. Maxmillian

on

Ni mkali wa kuchana Rapper Young Dee ameifanyia cover single ya Saut Sol ‘kuliko jana‘ akiwa na producer ambaye pia ni msanii na mmiliki wa studio za Aunthetic Records Maxmillian, cover hii imefanywa kwa vionjo vya accapela.

Nameiweka hapa single hiyo unaweza kuisikiliza  kwa kubonyeza play.

VIDEO: Performance ya Young Dee kwenye jukwaa la FIESTA 2016 Mtwara. Unaweza kuitazama hapa.

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement