Tangaza Hapa Ad

VideoMPYA: Mafikizolo wamekuja na hii “Ofana Nawe” wakimshirikisha Yemi Alade


Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wanaounda kundi la Mafikizolo kutokea Afrika Kusini wanakukaribisha kuitazama video yao mpya Ofana Nawe waliomshirikisha Yemi Alade kutokea Nigeria, wimbo huo unapitikana pia katika Album yao ya 20.

Bonyeza play kuutazama wimbo huo.

VIDEO:Baraka The Prince amtibua Producer Manecky

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement