Habari za Mastaa

Hawa ndio mastaa wa Bongo ambao hawaleti pozi kwa mashabiki

on

Ayo Tv na Millardayo.com zinakukutanisha na majibu ya mashabiki mbalimbali kuhusiana na swali lililoulizwa kupitia instagram page ya Millardayo likisema ni staa yupi  Bongo ambaye uliwahi kukutana nae live na hakukuletea pozi?

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama na kusikiliza comments za mashabiki zikitaja list za mastaa ambao hawana pozi hapa Bongo pale inapotokea wanakutana na mashabiki wao.

Miss Tanzania ni miongoni mwa wanaotajwa kunyakua taji la Miss World

Soma na hizi

Tupia Comments