PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Makamu wa Rais TFF Michael Wambura ametangaza kuachana na soka

on

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura anashikiliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU, atafikishwa Mahakamani, Wambura pia kupitia kwa Mwanasheria wake Emmanuel Muga imeelezwa ameridhia adhabu ya kufungiwa Maisha na TFF na FIFA.

Pamoja na hayo Wambura kupitia kwa mwanasheri wake Emmanuel Muga ametangaza kuwa kwa sasa kuanzia leo February 11 2019, anaachana rasmi na shughuli za mpira wa miguu atabaki kama mtu wa kawaida tu, hata hivyo Wambura pia ameamua kufuta kesi zote alizokuwa amezifungua kuhusiana na kupinga maamuzi ya kamati ya maadili ya TFF.

“Tunashindana na timu zenye nguvu, aliyetoa assist Alexandria kanunuliwa Bilioni 10”-MO Dewji

Soma na hizi

Tupia Comments