Video Mpya

VideoMPYA: Wimbo wa kwanza wa Weasel baada ya Radio kufariki

on

Ipokee hii mpya ya kuitazama kutoka kwa staa wa muziki wa Uganda Weasel ambaye ametoa video mpya ya kuitazama “Tokyayitaba” kama solo artist  ikiwa ni baada ya Radio kufariki ambapo walikuwa wakiunda kundi la Goodlyfe.

Ulipitwa na maamuzi aliyoyafanya Shilole???

Soma na hizi

Tupia Comments