Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Umelisikia Deni analodaiwa Snura?sikiliza hapa kupitia You Heard ya leo.

on

You-heard21Pengine inaweza kuwa skendo ama ni kweli juu ya deni analosemekana anadaiwa Snura,pamoja na pesa nyingi anazoonekana kaingiza kwa singo kadhaa kama Majanga,Debe la Vanga na Nimevurugwa,lakini kumbe anadaiwa hili deni,Msikilize Snura,meneja wake Hk na mtu anaemdai kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments

Advertisement