Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Chuchu Hansy atoa povu kwa Ray amuita “Baba mwenye jeuri”

on

Leo May 16,2019 muigizaji Chuchu Hansy ambaye pia ni mzazi mwenza na Ray Kigosi amechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuandika ujumbe kwa mzazi mwenzake ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa kupitia ukurasa wake wa instagram.

Kupitia mahojiano mbalimbali na vyombo vya habari Chuchu Hansy aliwahi kuweka wazi kuwa kwa sasa yeye pamoja na Ray Kigosi hawako sawa na kitu ambacho kimebaki kuwakutanisha ni mtoto wao, lakinii hivi karibuni kumezuka tetesi kuwa Ray Kigosi yupo kwenye mahusiano mapya. 

“Happy Birthday baba @jadenthegreatest baba mwenye jeuri zako baada ya kupata mtoto ukajiona baba mpk wa watoto wakubwa waliokomaa😊 Ramadhani iii No matter what Nakutakia Happy Birthday MUNGU azidi kukuweka inshaalah uje mleane na mwanao sina zawadi kubwa zawadi yangu ni @jadenthegreatest na natumai ni zawadi ya milele na yenye historia kwako..Enjoy ur day@raythegreatest @raythegreate >>>Chuchu Hansy 

 

AUDIO: ULIPITWA NA HII YA MAN FONGO KUPATIKANA NA KUFUNGUKA KUHSU ISHU YA KUFUNGWA JELA MIAKA 30?, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA.

Soma na hizi

Tupia Comments