Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 13: Kutoka kwenye uzinduzi wa tour ya Vanessa Mdee na Juma Jux

on

Siku ya Leo May 30, 2018 Couple ya mastaa wa bongofleva Juma Jux na Vanessa Mdee rasmi wamezindua Tour yao ambayo watazunguka mikoa mbalimbali kufanya show kwa mashabiki wao na Tour hiyo kuipa jina la Lovely & Money na itaanza June 30, 2018.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye uzinduzi huo karibu kuzitamaza..

ETI MAPENZI NA KAZI HAVIENDI! Vanessa kajibu ikiwemo ishu ya miwani yake

Soma na hizi

Tupia Comments