Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 2: Hans Poppe kampa zawadi ya gari nyota wa Simba

on

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe leo Septemba 12 2016 ametimiza ahadi yake aliyoitoa kwa beki wa pembeni wa klabu ya Simba Mohammed Hussein ambaye wengi wamemzoea kwa jina la Tshabalala.

q

Hans Poppe alipomkabidhi kadi ya gari mchezaji huyo

Hans Poppe ambaye amemkabidhi zawadi ya gari aina ya Toyota Raum   beki huyo, ametimiza ahadi aliyoitoa kwa nyota huyo, baada ya kufanya vizuri msimu uliopita kama alivyomuahidi.

Thankyuuuu Boss ?#ZHP

A photo posted by Zimbwe Junior (@official_mohamedhussein15) on


ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement