Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli yote manne ya Yanga vs JKT Ruvu October 26 2016

on

October 26 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wake wa kiporo, Yanga wamecheza na JKT Ruvu na kufanikiwa kuifunga magoli 4-0, magoli ambayo yalifungwa na Obrey Chirwa dakika ya 6, Amissi Tambwe dakika ya 64, 92 na Simon Msuva dakika ya 83.

VIDEO KWA HISANI YA  AZAM TV

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement