Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mke wa rapper T.I ameamua rasmi kudai talaka yake

on

Headlines nyingine kutoka Marekani zimechukuliwa na mke wa rapper T.I kufungua rasmi kesi ya madai ya talaka kwa kile kinachosemekana kuwa amechoshwa na drama za T.I ambazo haziishi. Hii inakuja miezi michache tangu T.I kusema anaweza kumuacha mkewe kwa sababu alipiga picha na kucheza muziki na Floyd Mayweather ambaye ni hasimu wake.tiiii

T.I na Tiny wamekuwa katika ndoa tangu mwaka 2010 na kufanikiwa kupata watoto watatu katika ndoa na wengine wanne nje ya ndoa hivyo wana jumla ya watoto saba.

Video: SHILOLE NA MPENZI WAKE WAHOJIWA KWA DIVA, MAHABA MOTOMOTO>>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement