Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Lukaku ameona wanavyo msemasema kwamba hana uwezo wa kuzifunga timu kubwa

on

Mchana wa October 14 2017 ilichezwa game kwenye Ligi Kuu England ya Man United vs Liverpool katika uwanja wa Anfield ikamalizika 0-0 hivyo kuambulia kugawana point mojamoja kwa kila mmoja.

Baada ya game hiyo stori zilikuwa nyingi katika mitandao ya kijamii hususani kwa baadhi ya mashabiki wa soka kulaumu kuwa mshambuliaji wa Man United Romelu Lukaku hana uwezo wa kufunga dhidi ya timu kubwa ndio maana alishindwa kufunga hata kwenye ile game na Liverpool.

Stori hizi zinakuja wakilinganisha kuwa toka 2014/15 hadi leo Vardy amefunga jumla ya magoli 18 dhidi ya vilabu vikubwa wakati Lukaku amefunga mara tano pekee, Lukaku amezipata stori hizo na alipoulizwa na waandishi wa habari alijibu hivi

Nimesikia hizo tuhuma, kuna Washambuliaji wakubwa kwenye hii Ligi na huwa wanakosa nafasi za wazi za magoli zaidi yangu lakini ni mimi tu kila siku nalaumiwa“>>>Lukaku

MAGOLI: Dakika 2 zilizonasa magoli yote ya Simba SC vs Mtibwa leo (video)

UNATAKA KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine…. fanya jambo moja tu rahisi… BONYEZA PAGE ZIFUATAZO ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER >>> pia bonyeza SUBSCRIBE HAPA >>> YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments