Tangaza Hapa Ad

Burudani

Muigizaji mwingine mkubwa Holly Wood atakayecheza Movie moja na Idriss Sultan

on

Baada ya muigizaji na mchekeshaji kutokea  Tanzania Idris Sultan kupata nafasi ya kushiriki kwenye movie mpya ya “The Blue Maritius” inayotarajiwa kuanza kutengenezwa March, 2018 itakayogharimu dola milioni 20 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 40 ikichezwa katika nchi mbalimbali ikiwemo Afrika Kusini, Berlin, London, Paris, Acapulco na Mexico.

Idadi ya waigizaji watakaoshiriki kwenye movie hiyo inazidi kuongezeka baada ya muigizaji  kutokea kwenye  filamu maarufu ya ‘Captain America’ Anthony Mackie  kupata mchongo huo na kukamilisha timu ya waigizaji 9 watakaoshiriki kwenye movie hiyo wakiwemo waigizaji kama Pearl Thusi, John Rys, Ernest Napoleon na Eric  Dane.

 Ulipitwa na hii ya Rick Ross atahusika kwenye Album mpya ya Diamond?

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement