Michezo

CAF wametangaza mchezaji bora Afrika 2017

on

Shirikisho la soka barani Afrika CAF usiku wa Alhamisi ya January 5 2018 jijini Accra Ghana limetangaza mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2017, Mohamed Salah wa Misri anayeichezea Liverpool ya England ndio ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo.

Salah amewashinda staa wa Gabon anayecheza Borussia Dortmund Pierre Emerick Aubameyang na staa mwenzake wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal Sadio Mane.

List ya washindi wengine waliyoshinda tuzo za CAF 2017

Simon Msuva amerudi Tanzania leo, alichozungumza kipo hapa

Soma na hizi

Tupia Comments