Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 10: Kinachoendelea kutoka Vodacom Wasafi Beach Party ya Diamond Platnumz

on

Ni Dec 24, 2016 ambapo wakazi wa Dar es Salaam wanakutana Jangwani Sea Breezy kushuhudia burudani kali ambayo wakali mbalimbali watapanda kwenye stage kudondosha shangwe akiwemo, Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Kcee wa Nigeria na wengineo.

Huku ikihudhuriwa na warembo wawili kutoka Kenya Nairobi Huddah na Vera Sidika pamoja na mrembo kutoka Uganda Anitah Fabiola.

Mtu wangu bado haujachelewa tiketi za kawaida ni shilingi 30000/= huku kwa watu wangu wa VIP tiketi ni shilingi 100, 000, hizi ni baadhi ya picha kutoka hapa Jangwani Sea Breezy Dar es Salaam.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA HII YA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOWAZUNGUMZIA HUDDAH NA VERA SIDIKA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement