AyoTV

“Naitaka Yanga yenyewe hii siwezi kufurahia”-Obrey Chirwa

on

Baada ya game ya Azam FC dhidi ya Yanga SC kumalizika katika michuano ya Mapinduzi Cup 2019 kwa kuifunga Yanga kwa magoli 3-0, Obrey Chirwa akiifungia timu yake ya Azam FC magoli katika ushindi huo wa magoli 3-0, Chirwa amekubali kuongea na waandishi kwa mara ya kwanza.

Chirwa ambaye aliwahi kuichezea Yanga kwa miaka miwili, amefunguka ya moyoni mwake mbele ya waandishi wa habari kwa mara ya kwanza, toka alipoondoka Yanga na kutotaka kutoa ushirikianao kwa vyombo vya habari Tanzania baada ya kutofautiana nae miezi kadhaa, Chirwa leo zungumzia magoli yake na furaha yake ya kuifunga Yanga.

“Siwezi kushangilia kwa sababu hii timu ni Yanga lakini Yanga ya vijana, siwezi kushangilia sana nataka nikutane na Yanga yenyewe nione uwezo wangu Yanga au Simba nione uwezo wangu kama hauko sawa au upo sawa tutaona hapo hapo”>>> Obrey Chirwa

Baraka Mpenja wa Azam TV “Walitaka kuandika barua nisitangaze mechi zao”

Soma na hizi

Tupia Comments