Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Maneno ya Zari kwa watakaohudhuria Arobaini ya mtoto wake January 28.

on

Diamond Platnum na mpenzi wake Zari wanategemea kufanya arobaini ya mtoto wao wa pili aitwae Prince Nillan January 28 2017 Dar es salaam ikiwa ni baada ya kubadilisha na kuamua kuifanyia Tanzania na sio South Africa kama ilivyokua mwanzo.

Zari alithibitisha hivyo kupitia ukurasa wake wa Snapchat na pia akawasihi watakaohudhuria kwenye shughuli hiyo wasivae madera wala sare.

Video: Diamond aongelea ishu ya Zari kumpost Ivan wakati walishaachana>>>

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement