Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Ati Zari hana kazi ya kufanya???” (kwa sauti ya Zari)

on

Mama watoto wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amewajibu waliokua wanaandikia na ku-comment kwenye picha zake mbalimbali kwamba siku zote amekua hana kazi ya kufanya ndio maana yuko kwenye mitandao kila saa.

Zari ametumia muda wake kwenye mtandao kusema yafuatayo >>> “Ati wanasema anaamka asubuhi kupiga picha lakini hana kazi, Watoto wangu watawaajiri hivi karibuni”

BREAKING: RICK ROSS ASAINI NGOMA YAKE NA DIAMOND ICHEZWE KWENYE TV ZA MAREKANI, PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement