Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Video: List ya Midundo ya Bongofleva anayoikubali Godzilla

on

Mkali wa midundo ya Hiphop Godzila amekutana na Ayo TV pamoja na millardayo.com na ametusogezea list ya ngoma kali za Bongoflevani anazozikubali lakini pia ametusogezea Exclusive za wasanii gani wa Bongo anatamani warudi kwenye game kama zamani.

Naukubali muziki wa Profesa J Bong Dar es salaam, Ay Raha tu, Mike Tee na pia napenda miziki zaidi ya hiiGodzillascreen-shot-2016-10-20-at-2-56-20-pm

Pia Godzilla amewataja wasanii anaotamani warudi kwenye game ya Bongofleva kama zamani ‘ natamani kumuona Josline, Jose Mtambo sijui nini kimetokea kwao lakini kama hawa watarudi kwenye game nitakuwa nafuraha

ULIMISS HII YA YCEE KUTAJA WASANII KUTOKA BONGOFLEVANI ANAOTAMANI KUFANYA NAO COLLABO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

 

Tupia Comments

Advertisement