Tangaza Hapa Ad

Mix

Maneno ya Zitto Kabwe baada ya kupata mtoto

on

July 14, 2016 Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe aliingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake. Good news leo December 27 2016 Zitto Kabwe na mkewe wamepata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Josina – Umm Kulthum.

Zitto Kabwe amezitoa taarifa hizo kwenye mitandao ya kijamii na amesema kuwa wamempa jina hilo kwa heshima ya mwanamama mpigania uhuru wa Kusini mwa Afrika, Josina Muthembi Machel wa FRELIMO, aidha amesema Umm Kulthum kwa heshima ya mama yake mdogo na pia jina la binti wa Mtume Muhammad (SAW).

zitto-kabwe

ULIKOSA HII YA ZITTO KABWE KUCHUKUA MUDA MREFU ZAIDI KUTOPOST CHOCHOTE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII, Bonyeza play kusikiliza

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement