Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Zitto Kabwe aliposimama kwa dakika 10 bungeni kuhusu muswada wa habari

on

Naripoti kutoka bungeni Dodoma ambapo ishu kubwa sasa hivi ni muswada wa habari uliowasilishwa jana kutoka kwa Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye, Wabunge mbalimbali wamesimama na kuongea.

Zitto Kabwe ni miongoni mwao amesimama kwa dakika kumi na kuyaongea haya hapa chini kwenye video, ‘Muswada huu unatengeneza Muhariri mkuu wa taifa ambaye ni Waziri wa habari

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Zitto Kabwe kuhusu serikali ya awamu ya tano? tazama hii video hapa chini

Tupia Comments

Advertisement