HekaHeka

HEKAHEKA:Mwanamke aliyepokonywa mtoto wa miezi 10 mpaka leo ana miaka mitatu

on

Hekaheka ya leo December 18, 2017 mtangazaji Geah Habibu katuletea hii inayomuhusu mwanamke ambaye alipokonywa mtoto akiwa na miezi 10 na mwanaume aliyezaa naye na mpaka sasa mtoto ana miaka mitatu huku mwanamke huyo akiwa ameshaenda sehemu mbalimbali kulalamika bila mafanikio.

Mwanamke huyo ambaye anaishi Tanga amesema  mwanaume aliyezaa naye amekuwa akimwambia kuwa hawezi kumuona mtoto huyo mpaka atakapofariki na mpaka sasa hajui mtoto wake alipo japo mumewe amekuwa akidai kuwa amempeleka mtoto huyo Afrika Kusini.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY..

HEKAHEKA: Geah Habib kamtafuta mjane aliyenyang’anywa mali na ndugu wa mume

Soma na hizi

Tupia Comments