Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Zitto Kabwe bungeni kuhusu ishu ya dawa za kulevya na Vyuo vikuu vipya


Tangu Mkutano wa bunge la 2017 uanze hatukumsikia Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe lakini February 6 2017 alisimama na kuchangia maoni yake pia kuhusu ishu ya dawa za kulevya inayoendelea Dar es salaam sasa hivi, kwanini anataka vyuo vikuu vipya vitatu Tanzania, bonyeza play hapa chini kumtazama

VIDEO: Maagizo matatu ya Paul Makonda leo Feb 6 2017 kuhusu ishu ya dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement