DSTV

Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Zitto Kabwe apewa onyo Bungeni Dodoma leo (+video)

on

Baada ya serikali ya Tanzania kujitoa katika mpango wa kimataifa wa kuendesha Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP) leo November 13, 2017 Waziri wa nchi, ofisi ya Rais (menejimenti ya utumishi Umma na utawala bora) George Mkuchika ametoa onyo kwa Mbunge wa Kigoma mjini.

Ametoa onyo kwa Zitto Kabwe pamoja na baraza lake la madiwani kuacha mara moja kuendelea kuwasiliana na Washirika wa OGP na endapo wataendelea Serikali itatoa adhabu kali ikiwemo kuvunja baraza lote la madiwani.

VIDEO: MBOWE ASEMA “SIMUOGOPI YEYOTE, LIPUMBA NI PROFESA WA AJABU KWELIKWELI”

“KIONGOZI NI KUSIKILIZA WATU, SERIKALI MNAFICHA NINI? – HUSSEIN BASHE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement