Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 11: Shilole alivyochukua Ndege na familia na Boyfriend mpya kwenda Zanzibar ku-enjoy

on

Msanii wa Bongofleva Shilole sasa hivi anamiliki headlines za mitandao kwa kuwa na boyfriend mpya aitwae Adam maarufu kama BoyCaro ambaye alikua akifanya kazi Duka la nguo na hapo ndipo walipokutana na kuanzisha mapenzi.

Shilole alikua Zanzibar hivi karibuni na aliichukua familia yake pamoja na boyfriend wake na wakapanda ndege kwenda kula bata na kulala kwenye hoteli moja ufukweni mwa bahari ya hindi na hapa millardayo.com imezinasa picha zake 11.

aw1a7112

aw1a7081

aw1a6983

aw1a6975

aw1a7104

aw1a7178

 

aw1a6904

aw1a6893

aw1a6889

aw1a7309

aw1a7199VIDEO: Shilole na mpenzi wake wahojiwa kwa Diva, Mahaba motomoto tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement