Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Rais Zuma alivyonaswa na kamera akiwa amelala wakati wa hotuba ya bajeti

on

Wananchi wa  Afrika Kusini jana October 26 2016 walikuwa wakifuatilia kwa makini kile ambacho kilikuwa kinaendelea bungeni ambapo Waziri wa Fedha wa nchi hiyo, Pravin Gordhan alikuwa akisoma hotuba ya bajeti.

Sasa leo asubuhi October 27 2016 wananchi wa Afrika Kusini wameamka na habari kuwa Rais wao alilala katikati ya Hotuba ya saa moja na dakika 14 iliyokuwa ikisomwa na waziri wa fedha Pravin Gordhan, kamera zilimnasa Rais Jacob Zuma akiwa amelala, unaweza kungalia video hii hapa chini

ULIKOSA HII WANAFUNZI WALIOKIRI KUFANYA NGONI NA MBWA ARUSHA KUWA HAWATASHTAKIWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement