Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Jacquline Wolper kafunguka kuhusu mpenzi wake mpya

on

Leo January 19, 2018 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm muigizaji Jacquline Wolper amewasili katika studio hizo pamoja na inayesemekana kuwa ni mchumba wake anayefahamika kwa jina la Engine na kusema kuwa ataongelea ishu ya uhusiano wake na mwanaume huyo hivi karibuni ili watu wapate kumfahamu.

Ila kwa sasa hayuko tayari kuweka wazi mahusiano hayo aliyonayo kati yake na Engine ila kikubwa watu wafahamu kuwa wapo katika mahusiano ya kimapenzi. Engine ni mwanaume ambaye inasemekana alitambulishwa na Jacquline Wolper nyumbani kwao Moshi.

Faiza kazungumza “Siongei na Sugu ila Sifurahii akipata matatizo”

 

Soma na hizi

Tupia Comments