Video Mpya

AudioMPYA: OMG wamerudi kwenye spika zako na mdundo mpya ‘Solo’

on

Licha ya kwamba ziliwahi kusambaa taarifa za kuvunjika kwa kundi la OMG kutokana na wao kufanya kazi mmoja mmoja sasa wameamua kurudi na kuonesha kuwa bado wapo pamoja na wamekuletea mdundo wao mpya unaoitwa ‘Solo’ umetayarishwa na Ammy kutoka Switch Records.

PLAY hapa chini kuisikiliza AUDIO.

VIDEO: Kwa mara ya kwanza Mama Steve kaongea fumanizi la mzazi mwenzake Barnaba

EXCLUSIVE: Noel kuhusu gauni la Wolper kuchanika, kwanini hajatumia Farasi..?

Soma na hizi

Tupia Comments