AyoTV

Aunty Ezekiel ataja aliowahi kugombana nao na kusema ‘Kugombana ni kawaida ila tusamehe…’

on

Ni wengi ambao wamegombana na hawazungumzi bado mpaka sasa hivi wala hawajawahi kuwaza kupatana, Mwigizaji Aunty Ezekiel anasema kugombana kwenye maisha ni kitu cha kawaida ila msamaha ni muhimu na kumaliza yaliyopita…. bonyeza play hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments