Habari za Mastaa

Mahojiano ya CloudsTV na baba mzazi wa Diamond Platnumz nyumbani kwake Magomeni

on

Abdul ni baba mzazi wa mwimbaji wa Tanzania Diamond Platnumz ambapo D’wikend chat show ya CloudsTV ilimfata na kumfanyia mahojiano nyumbani kwake Magomeni, kayazungumza mengi tokea wakati huo na sasa maisha yake na Diamond, tazama hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments