Duniani

Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha

on

Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine… sasa leo December 15 mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam  Chris Mauki ametoa hizi tabia nane za watu wa pole, zitazame uone kama zinakugusa au kumgusa yeyote unaemfahamu.

  1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
  2. Ni rahisi kuwaamini
  3. Wako tayari kutoa msaada.
  4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
  5. Ni wasikilizaji wazuri
  6. Wanazielewa hisia za wengine
  7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
  8. Ni wagunduzi.
Chris Mauki

Chris Mauki

Umeonaje hizo sifa? kama zimekugusa kivyovyote naomba niachie comment yako hapa chini… pia unaweza kumfollow Chris Mauki kwenye Instagram kwa kubonyeza HAPA na pia kutembelea chrismauki.com kila wakati ukutane na vitu viiingi tu vya kujifunza.

Soma na hizi

Tupia Comments