Top Stories

Breaking News: Profesa Lipumba kashindwa kuvumilia, haya ndio maamuzi yake magumu

on

Screen-Shot-2015-08-05-at-2.56.59-PMKumekuwa na stori nyingi ambazo zimeandikwa sana Magazetini kuhusu Umoja wa Vyama vya UKAWA, baada ya Mbunge wa Monduli kukaribishwa CHADEMA na UKAWA stori nyingine zikaanza kuchukua headlines kuhusu baadhi ya Viongozi waliopo Vyama vya UKAWA.

August 06 2015 nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumba amekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.

Stori zaidi na sababu zake za kujiuzulu nitakuwekea hapa millardayo.com muda mfupi ujao..

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments