BreakingNews

Zilizonifikia: Msafara wa Edward Lowassa wazuiwa.

on

newsMchana wa August 13 2015 zimenifikia taarifa kutoka mkoa wa Kilimanjaro ambapo msafara wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia UKAWA 2015 Edward Lowassa, umezuiwa na Polisi.

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi hii ripoti imeandikwa hivi >>>Msafara wa Lowassa wazuiwa, Polisi Mwanga wazuia msafara wa Edward Lowassa kuhudhuria mazishi ya kada wa CCM Peter Kisumo, waamua kurudi walikotoka

MwananchiTunazidi kufatilia zaidi taarifa hii, jiunge na Millard Ayo kwenye hii mitandao ya kijamii ili chochote tu kikitokea uwe wa kwanza kufahamishwa kwa kubonyeza hapa Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos pia usisahau kuidownload APPLICATION mpya ya Millard Ayo kwenye Android na IOS uzipate zote kiganjani.

Tupia Comments