AyoTV

Goli la Simba umeliona vs SC Villa ya Uganda? ninayo video hapa !

on

AW1A0272Mpambano uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ni kati ya Simba na SC Villa ya Uganda, mchezo ambao ulimalizika kwa Simba kushinda kwa goli 1-0 goli pekee lilifungwa na Awadh Juma dakika za lala salama.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos

Soma na hizi

Tupia Comments