Habari za Mastaa

Mtu wa nguvu na watu wangu wa chuo Jana Dec 19 #TIGOuniversityVIP

on

Tigo imekua ikitoa nafasi za watu wa nguvu kwenye vyuo vya UDSM, IFM, CBE- DAR, Utumishi Mtwara na Mzumbe Morogoro kuenjoy weekend zao na marafiki baada ya kushinda kwenye droo ambayo inachezeshwa kutokana na Wanachuo wanaosogelea gulio la Tigo chuoni kwake na kufanya chochote kinachopatikana.

Sasa usiku wa Dec 19 2015 washindi watatu kutoka kwenye vyuo totauti (UDSM, CBE,IFM) walipewa hadhi ya ki-VIP kutoka Tigo.

.

.

.

.

3X6A4320

.

.

.

.

.

.

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments