Magazeti

Asubuhi ya Feb 18, Sikiliza habari Hot kwenye Magazeti ya leo wakati yakisomwa kwenye Power Breakfast.

on

Kama ulikuwa mbali na Radio yako ukashindwa kusikiliza Magazeti  yakisomwa hewani leo feb 18, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, nimekurekodia unaweza kusikiliza hapa.

Siku 105, Serikali ya awamu ya tano yaanika ufisadi wa bil 245 katika matumizi yasiyo ya lazima, kama vile ukwepaji wa kodi na wizi, Uganda kuchagua Rais leo feb 18 2016, wagombea nane wanawania huku ikibainishwa upinzani mkali ukiwa kati ya Rais Museveni na Dk Besigye, Suleiman Kova na Kamanda Nzowa waendelea kuvutana mahakamani kugombea umiliki wa nyumba, Nzowa anapinga uamuzi wa mahakama kumpa uhalali Kova.

Bonyeza play hapa chini ili kusikiliza stori zote…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments