Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania Yusuph Manji anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ambapo alipeleka maombi ya kupata dhamana Mahakama kuu hivyo leo ndio alikua akisubiria jibu ambapo Mahakama hiyo imetupilia mbali maombi hayo ya dhamana.
Kwa upande wa kesi ya viongozi wa Simba ya utakatishaji fedha inayomkabili Rais wa Club hiyo Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu Kaburu, leo August 7, 2017 imeahirishwa hadi August 16, 2017 kwa sababu upelelezi haujakamilika.
VIDEO: Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda kwenye sakata la dawa za kulevya, tazama hapa chini kujionea
VIDEO: YUSUPH MANJI MAHAKAMA KUU TENA
VIDEO: Ridhiwani Kikwete afunguka kuhusu kukamatwa kwa Yusuph Manji