Habari za Mastaa

PICHA 5: Mrembo Rihanna….. huku Drake kule Leonardo DiCaprio

on

Kwa urembo wake tu Wanaume wengi wamevutiwa nae… pamoja na kwamba hajawa muwazi sana kutaja au kuthibitisha kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Wanaume mastaa aliokutwa nao, picha zilizopigwa zimekuwa zikiwapa watu uthibitisho au majibu kwamba shemeji wa muda huu ni flani.

Jumapili ya April 17 2016 Rihanna na mwigizaji staa Leonardo DiCarpio walionekana pamoja ikiwa sio mara ya kwanza kwa wawili hawa kuonekana pamoja, iliripotiwa pia waliingia kwenye mapenzi ya siri mwaka 2015 na kutemana kabla ya kurudiana January 2016.

DAR ES SALAAM, TANZANIA - 13-08-22 - Downtown Dar es Salaam at night on August 22. A new high-rise is being constructed at bottom right. Dar es Salaam is one of Africa's fastest growing cities. Photo by Daniel Hayduk

.

Wakati hayo yakiwa kwa Leonardo, upande wa pili Wataalamu wa mambo wameripoti kwamba rapper Drake ambaye ametajwa sana kwenye headlines za kuwa mapenzini na RiRi, amejichora pozi la Rihanna kwenye mkono wake wa kulia na hii ikitajwa kuwa uthibitisho mwingine wa wawili hawa mapenzini pamoja na Drake pia kuonekana kudata zaidi kwa RiRi.

DAR ES SALAAM, TANZANIA - 13-08-22 - Downtown Dar es Salaam at night on August 22. A new high-rise is being constructed at bottom right. Dar es Salaam is one of Africa's fastest growing cities. Photo by Daniel Hayduk

.

DAR ES SALAAM, TANZANIA - 13-08-22 - Downtown Dar es Salaam at night on August 22. A new high-rise is being constructed at bottom right. Dar es Salaam is one of Africa's fastest growing cities. Photo by Daniel Hayduk

.

MASOGANGE KWENYE MAPENZI MAPYA? DUDUBAYA NA MSAMAHA KWA SHETTA JE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUJIONEA..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments