Habari za Mastaa

Irene Uwoya kakubali ni kweli aliwahi kuchepuka… problem je? ilikuaje? majibu yako hapa

on

Uwoya 2Tunae mwigizaji staa wa Tanzania Irene Uwoya kwenye hii post ambapo hajaona soo kushea na sisi sehemu ya safari yake ya mapenzi sababu hakuna anaepinga tabia nyingi za kimapenzi zinafanana kutoka kwenye relationship za watu mbalimbali.

Swali kubwa kwa Irene ni kweli amewahi kuchepuka? yani kutoka na Mwanaume mwingine wakati huohuo akiwa kwenye uhusiano na Mwanaume mwingine? jibu ni >>>> ‘Kuchepuka mbona kawaida tu watu wanachepuka, nilijikuta tu unajua wakati mwingine upo na mpenzi wako alafu anakuboa mpaka vitu vinafika shingoni, mpaka unasema aaaaah kwanini na mimi nisifanye?’

Itakua poa zaidi ukimsikiliza mwenyewe hapa chini na uone anavyochachamaa baada ya kuulizwa hilo swali


Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments