Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

Serikali yatoa majibu Usalama wa taifa kudaiwa kumteka Mo Dewj

on

April 15, 2019 Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora George Mkuchika akijibu hoja za Wabunge Bungeni amejibu tuhuma za baadhi ya watu wanaodai kwamba idara ya usalama wa taifa imekuwa ikihusika katika kuratibu na kuendesha baadhi ya matukio ya utekaji ikiwemo lile la mfanyabiashara Mo Dewd.

Kumekuwa na tuhuma dhidi ya usalama wa taifa kuratibu na kuendesha vitendo vya utekaji ikitolea mfano tukio la mfanyabiashara Mo Dewj, Jukumu la usalama wa taifa ni kukusanya habari na kuishauri Serikali full stop na nilikuwa nasema tusiipake matope idara ya taifa, hawa vijana wangu wanafanya kazi nzuri sana”- George Mkuchika

MBUNGE WA CHADEMA AHOJI UHALALI WA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI

Soma na hizi

Tupia Comments