AyoTV

VIDEO: Mke wa Rais Magufuli alivyoagwa na shule ya msingi aliyokua akiifundisha Dsm

on

Mke wa Rais John Pombe Magufuli  Janeth Magufuli February 17 2016 alirudi katika shule aliyofundisha kwa miaka 15 kabla ya JPM hajawa Rais wa Tanzania, camera ya AyoTV ilifanikiwa kuyanasa matukio yote muhimu na unaweza kutazama katika hii video hapa chini..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments